top of page
Untitled
_DSC6171.JPG
Untitled
Untitled

About us / Kuhusu

ANTONIA VERNA Rehabilitation Centre under IVREA Sisters Congregation was established in 2017 in collaboration with Comunità Solidali Nel Mondo, an italian NGO, and officially launched on 14th of February 2019. Our  aim is to provide rehabilitation services to people with disabilities in the community.

​

Kituo cha Utengamao cha Antonia Verna ni kituo kilichopo chini ya Shirika la masista wa Ivrea kwa ushirikiano wa Comunità Solidali Nel Mondo, italian NGO.  Kituo kilianzishwa mwaka 2017 na kilizinduliwa rasmi tarehe 14/2/2019 kwa lengo la kutoa huduma ya utengemao kwa watu katika jamii husika.

Testo del paragrafo.png

Our core Values/Maono na malengo

Untitled

Vision / Maono

ANTONIA VERNA's vision is to give the opportunity to every person living with disabilities to achieve their full potential.

In order for PWD to have equal rights, dignity, respect and love.

​

Antonia Verna inatazama kila mtu anayeishi na ulemavu  aweze kupata haki sawa, utu, kuheshimiwa na kupendwa.

Mission / Malengo

Our mission is to create an environment where PWDs (people with disabilities) are supported by the community.                   

 Have access to quality services for health, education, social and economic empowerment in Dar es Salaam region.

​

Antonia Verna inatazama kila mtu anayeishi na ulemavu  aweze kupata haki sawa, utu, kuheshimiwa na kupendwa.

Untitled
bottom of page